Back to homeWatch Original
Gavana wa zamani wa Bungoma Wycliffe Wangamati aachiliwa kwa dhamana
video
September 2, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Aliyekuwa gavana wa Bungoma, Wycliffe Wangamati, pamoja na jamaa zake tisa na wakurugenzi wa kampuni kadhaa za ujenzi wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ulaghai wa zabuni za zaidi ya shilingi milioni 271...