Back to homeWatch Original
Barchok, Wangamati wakana mashtaka, waachiliwa kwa dhamana
video
September 2, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Gavana wa Bomet Hillary Barchok, aliyekuwa gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati na washukiwa wengine 22 wamachiliwa kwa dhamana baada ya kukana mashtaka ya ufisadi dhidi yao. Aidha Barchok na Wangamati wameamrishwa kusalimisha stakabadhi zao za usafiri, kutotangamana na mashahidi..