Back to home

Nyumba 9 zabomolewa kwenye mzozo wa ardhi eneola Bobasi, Kisii

video
September 2, 2025
9h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia moja kule Bobasi kaunti ya Kisii imelazimika kuvumilia kijibaridi kwa zaidi ya mwezi moja sasa baada ya makazi yao kubomolewa kwenye mzozo wa ardhi. nyumba zao tisa zimebomolewa na watu wanaodai kumiliki shamba hilo la ekari nane...