Back to homeWatch Original
Shule zatishia kufunga milango kufuatia ukosefu wa fedha
video
September 2, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Shule za sekondari nchini zinakabiliwa na hatari ya kufungwa baada ya serikali kuchelewesha fedha za kuendesha shughuli za masomo kwa mihula miwili sasa. Wakuu wa shule sasa wanahofia kuwa huenda wakalazimika kuwarejesha wanafunzi nyumbani iwapo serikali haitasambaza pesa hizo ha..