Back to homeWatch Original
Mwanamke Bomba: Mwalimu aliyegeuka mfanyabiashara wa vipodozi
video
September 2, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mapato ya chini katika ajira ni mojawapo ya sababu zinazofanya watu wengi kuacha kazi na kuhangaika kutafuta ajira yenye malipo bora. Hali hoiyo ndio iliyomfanya ilye slim ambaye alikuwa ameajiriwa kama mwalimu wa chekechea kuanzisha biashara yake na sasa amewaajiri watu wengine...