Back to homeWatch Original
Serikali kuwalipia wakenya milioni 1.5 gharama za SHA
video
September 2, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali itawalipia wakenya milioni 1.5 matozo ya bima ya afya - sha kuanzia wiki ijayo. Haya ni kwa mujibu wa rais william ruto ambaye amesema kuwa watakaofaidika na mpango huo ni wale ambao hawana uwezo wa kulipia sha. Aidha rais ruto amesema atafanya mkutano na magavana na wab..