Back to home

Mauaji Tata Nyamira: Polisi wamsaka kijana aliyekiri kumuua na kuzika msichana

video
September 2, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Polisi kaunti ya Nyamira wameanzisha msako wa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 aliyekiri kumuuwa msichana mmoja na kuuzika mwili wake katika eneo la Nyamaiya, West Mugirango, kaunti ya Nyamira. Familia, jamaa na majirani walimeshinda katika eneo ambalo kaburi hilo linaaminika..