Back to home

Sakaja aponea hadi siku 60 kutatua mzozo wa Nairobi

video
September 2, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

William Ruto na kinara wa ODM Raila Odinga wamefanya mikutano na wawakilishi wadi wa kaunti ya nairobi kujaribu kutafuta muafaka kati ya Gavana Johnson Sakaja na wawakilishi wadi. Kwenye mkutano huo, sakaja ameahidi kuwashirikisha wawakilishi wadi kwenye mipango yote. Wawakilishi..