Back to homeWatch Original
Mfumo mbadala wa kuamua kesi
video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Jaji Mkuu Martha Koome amesema idara ya mahakama inatambua juhudi zinazopigwa na mfumo mbadala wa kutatua mizozo miongoni mwa jamii zinazoishi Kaskazini Mashariki kwa kufanyia haki wanyonge na kupunguza uhasama na chuki miongoni mwao..