Back to home

Daktari ashambuliwa eneo la Cherangany Trans Nzoia

video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Taharuki imetanda miongoni mwa wahudumu wa afya kaunti ya Trans Nzoia baada ya daktari mmoja kushambuliwa katika eneo la Cherangany, shambulizi linalodaiwa kufanywa na familia ya mgonjwa aliyemhudumia..