Back to home

Mgogoro wa ardhi Mwea

video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mazungumzo ya kutafuta suluhu kuhusu mgogoro wa umiliki wa ekari 44,000 za ardhi ya makazi ya Mwea, Mbeere Kusini, yamegonga mwamba katika Mahakama ya Embu baada ya baadhi ya maafisa wa serikali kukosana kujiwasilisha kwenye mazungumzo hayo..