Back to home

Washukiwa wawili wakamatwa dhidi ya pombe haramu Kisumu

video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Polisi huko Kisumu wamewatiwa nguvuni watu wawili huku lita zaidi ya elfu mbili za pombe haramu zikipatikana katika kijiji cha Bolo wakati wa msako uliondeshwa na Jumanne asubuhi..