Back to homeWatch Original
Bunge kuanza kuwahoji walioteuliwa kuwa Mabalozi
video
September 3, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa walioteuliwa na Rais Willaim Ruto kuwa mabalozi wa mataifa tofauti leo wameanzahojiwa Bungeni. Waliohojiwa leo ni pamoja na aliyekuwa waziri Florence Bore ambaye alitakiwa kueleza kuhusu uhusiano wake na chama tawala cha UDA na iwapo uhusiano huo utatatiza majukumu yake. ..