Back to home

Wasanii wachanga kutoka Pokot Magharibi walipiwa karo

video
September 4, 2025
12h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waigizaji wawili chipukizi maarufu kama Poyon Commedians kutoka kaunti ya Pokot Magharibi wamepata nafasi ya kuendelea na masomo baada ya kulipiwa karo ya shule ya bweni ya msingi ya Nasokol. Hatua hii imechochewa na hali ngumu ya kifedha ya familia zao, ambapo mbunge wa Emurua D..