Back to home

Sheria ya mauaji

video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Trans Nzoia Lilian Siyoi, ameitaka serikali kupitia Bunge kuangazia upya sheria zinazohusu mauaji, akisema kuwa washukiwa wa makosa hayo hawafai kupewa dhamana.Akizungumza katika eneo la Saboti, Siyoi ametoa kauli hiyo kutokana na kisa cha kusikiti..