Back to home

Mbunge wa Gilgil asema ufadhili wa masomo wa serikali ni finyu

video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Hofu imetenda kwa maelfu ya wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mtihani wa Kitaifa ,huku Mbunge wa Gilgil ,Martha Wangari akionya huenda wakakosa kufanya mtihani kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokumba sekta ya elimu..