Back to home

Wachimbaji migodi wachimbiwa kisima huko Osiri Migori

video
September 5, 2025
8h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakaazi wa Osiri, eneo bunge la Nyatike kaunti ya Migori wanaelezea matumaini yao mpango mpya wa uchimbaji visima unaolenga kukabiliana na uhaba wa maji safi katika eneo hilo..