Back to home

Gavana Guyo awafuta kazi mawaziri wawili katika baraza lake

video
September 3, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Gavana wa Isiolo Abdi Guyo amefanya mabadiliko makubwa katika serikali ya kaunti hiyo baada ya kunusurika kwenye jaribio la kufurushwa ofisini. Guyo aliwafuta kazi mawaziri wawili, akamwondolea majukumu naibu gavana na kupunguza idadi ya maafisa wakuu kutoka 31 hadi 21. Guyo alit..