Back to home

Timu ya chapa dimba yaelekea uhispania kwa kambi ya mazoezi

video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Timu ya safaricom chapa dimba all-stars imepangiwa kambi ya mazoezi ya kimataifa nchini uhispania kuanzia jumamosi. Timu hiyo ya wachezaji 25 bora zaidi itaelekea huesca kwa kambi ya mazoezi ya wiki nzima ambayo inaahidi kuinua maisha yao ya soka...