Back to homeWatch Original
Mipasuko ya ardhi barabarani yawatia hofu wasafiri Nakuru
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mipasuko ya ardhi kwenye barabara ya Nakuru kwenda Nairobi imewatia hofu wasafiri na wakazi wanaoishi karibu na eneo hilo.Evans asiba anaungana nasi mubashara kutoka Nakuru kwa mengi zaidi..