Back to homeWatch Original
Juhudi za kukomesha mimba za utotoni zimeshika kasi Bungoma
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kama njia moja ya kuhakikisha visa vya mimba za utotoni vinadhibitiwa hasa miongoni mwa wanafunzi, serikali ya Kaunti ya Bungoma imeanzisha vikao na walimu wakuu wa shule za upili ili kufanikisha uhamasisho kuhusu athari za mimba hizo kwa mwanafunzi...