Back to home
Robert Alai : Gavana Sakaja alikataa kufanya kazi katika ofisi yake rasmi ya City Hall
video
C
Citizen TV (Youtube)September 4, 2025
1w ago
Robert Alai – Mwakilishi Wadi, Kileleshwa: Gavana Sakaja alikataa kufanya kazi katika ofisi yake rasmi ya City Hall, hivyo basi inakua ngumu kuwasiliana naye au kumpata unapohitaji kusuluhisha masuala