Back to homeWatch Original
Wafanyabiashara wa Jumba la Nanak Nairobi walalamika kudhulumiwa na mmiliki nyumba
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wafanyabiashara katika jumba la Nanak katikati ya jiji la Nairobi wamelalamikia kile wanadai ni kuhangaishwa na kudhulumiwa na mmiliki wanayedai anataka kuwafurusha baada ya kuongeza kodi ya nyumba kutoka mwezi septemba mwaka jana...