Back to homeWatch Original
Maslahi ya mtoto wa kike
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya Jinsia na Usawa Imeanzisha Uchunguzi wa hali ya masomo kwa mtoto wa kike katika Maeneo Kame Nchini ikilenga kaunti 17.Afisa Mkuu Mtendaji Wa tume hiyo Dr.Purity Ngina Akizungumza Kaunti ya Tharaka Nithi, Baada ya kukutana na Maafisa wanaosimamia Elimu kaunti hiyo, amesema..