Back to homeWatch Original
Ujumuishaji wa kilimo na ufugaji kwa kupanda mimea bila kutumia udongo
video
September 4, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Ujumuishaji wa kilimo kisichotumia udongo pamoja na ufugaji wa samaki na kuku umempatia mkulima mmoja katika Kaunti ya Kiambu mavuno bora kutokana na mbinu hiyo endelevu inayotumia rasilmali chache kupata mapato ya kuridhisha. Mbinu hiyo inamwezesha kuongeza uzalishaji, kuokoa ma..