Back to homeWatch Original
Gachagua aitaka serikali kudhibiti usalama Mandera
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ametaka serikali kuchukua hatua za dharura na kuwaondoa wanajeshi kutoka jubaland wanaodaiwa kukita kambi kaunti ya mandera. Akizungumza katika hafla ya mazishi huko Mathioya, kaunti ya Muranga, Gachagua amesema kimya cha baadhi ya maafisa wakuu ser..