Back to homeWatch Original
KNCHR yafunza wanahabari kaunti ya Garissa kuhusu kuripoti
video
September 5, 2025
9h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibidamu KNCHR imeandaa mafunzo kwa wanahabari wa kaunti ya Garissa jinsi ya kuripoti kuhusu dhulma dhidi ya binadamu na sheria zinazolinda waathiriwa wa dhulma hizo..