Back to home

Ujenzi wa barabara ya ushirika huko Olkeri Kajiado wakwama

video
September 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wanaotumia Barabara ya Ushirika Kwenye wadi ya Olkeri kaunti ya Kajiado wanalalamikia kukwama Kwa mradi wa Barabara tangu mwaka wa 2019.Wanasema mwanakandarasi alitelekeza ujenzi wa Barabara hiyo na kuwacha wakazi kuhangaika wakati wanasafiri, pia visa vya kihuni vimeongez..