Back to homeWatch Original
| SHAJARA NA LULU | Simulizi ya Virginia Wairimu anayetegemea taka kulisha familia [Part 2]
video
September 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Virginia Wairimu anategemea taka kulisha familia. Mumewe alifariki na kumwachia ulezi wa watoto 5. Mmoja wa wanawe watano alifariki kwenye jalala Dandora. Jalala la Dandora ni tegemeo kwa tonge la kila siku...