Back to home

Mvua kubwa yatarajiwa katika Kaunti za Magharibi

video
September 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Idara ya utabiri wa hali ya hewa imebashiri kwamba mvua kubwa ya Elnino inatarajiwa katika maeneo ya Magharibi mwa Kenya katika miezi ya Oktoba , Novemba na Desemba. akizungumza hapa Jijini Nairobi, Naibu mkurugenzi wa Idara hiyo Charles Mugah, amesema kuwa mvua za vuli zinataraj..