Back to homeWatch Original
Uwekezaji katika kaunti
video
August 15, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amezitaka serikali za kaunti kuwa makini na uwekezaji kutoka mataifa jirani ili kuhakikisha kuwa fedha hizo zinatumika vyema na kwenye miradi iliyokusudiwa..