Back to home

Kilio cha familia Naivasha

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 8, 2025
13h ago
Familia moja inayoomboleza huko Naivasha inatafuta haki kufuatia kifo cha binti yao, aliyeaga dunia katika njia tatanishi. Miili ya Naomi Wangari na mpenzi wake ilipatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti cha City, wiki moja baada ya kutoweka kutoka kwao huko Mlolongo kaunti y