Back to home
Mahakama yasitisha malipo ya kidijitali, jopo la fidia lapigwa breki
video
C
Citizen TV (Youtube)September 8, 2025
6h ago
Serikali imepata pigo baada ya mahakama ya kerugoya kufutilia mbali kwa muda jopo la kuwafidia waathiriwa wa maandamano nchini, huku mahakama kuu ya nairobi pia ikisimamisha utumizi wa mfumo wa serikali wa kuchukua zabuni e-GPS.Wakitoa uamuzi wao, majaji wote wawili walisema seri