Back to home

Shule ya St. Georges yafungwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 8, 2025
13h ago
Shule ya upili ya wasichana ya St. Georges Nairobi imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuzua rabsha usiku wa kuamkia leo. Wasichana hao walikuwa wanalalamikia kile walichodai ni kupigwa kwa mwanafunzi mmoja na mwalimu wa shule hiyo. Kama anavyotuarifu Willy Lusige