Back to home
Afisa wa DCI akamatwa Thika kwa mauaji ya waendeshaji boda boda
video
C
Citizen TV (Youtube)September 7, 2025
1mo ago
Afisa mmoja wa idara ya DCI amekamatwa mjini Thika baada ya kuwapiga risasi na kuwaua waendeshaji bodaboda wawili karibu na Kituo cha Polisi cha Makongeni kufuatia ajali iliyohusisha gari lake na pikipiki.
DCI Officer Arrested for Fatally Shooting Two Boda Boda Riders in Thika - September 2025
An officer from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) fatally shot two boda boda riders in Thika, Kiambu County. The incident occurred near Makongeni Police Station following a minor traffic accident involving the officer's car and a motorcycle. The two motorcycle riders were tragically killed after being shot by the detective following the road accident. The DCI officer was arrested in Thika for the shooting. The incident occurred after a collision involving the officer's vehicle and the motorcycle.
Waendesha bodaboda wawili wauwawa kwa kupigwa risasi na afisa wa upelelezi Thika
NTV Kenya (Youtube)
Video
Police officer shoots dead 2 boda boda riders in Thika
Citizen TV (Youtube)
Video
4 stories in this topic
View Full Coverage



