Back to homeWatch Original
Wakenya kutazama tukio la kunaswa kwa mwezi usiku wa leo
video
September 7, 2025
19h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hii leo kuanzia saa mbili na nusu usiku, ulimwengu utashuhudiwa kupatwa kwa mwezi, tukio litakalodumu kwa takriban dakika 82. Hapa nchini bodi ya utalii kupitia kwa wizara ya utalii inaandaa hafla maalum huko samburu ambapo watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wanakongamana ..