Back to home
Gharama ya kilimo Makueni
video
C
Citizen TV (Youtube)September 8, 2025
18h ago
Kaunti ya Makueni ni mojawapo ya kaunti ambazo utoa matunda kwa wingi hususan maembe na machungwa,wakazi wa eneo hilo wakitegemea kilimo kukithi maisha yao. Hata hivyo ukulima wa matunda umendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakulima hao kutokana na ukosefu wa maji na kuendelea kuc