Back to home

Waandamanaji wakamatwa Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 8, 2025
17h ago
Watu watano wamekamatwa akiwemo Mwakilishi wadi wa shanzu allan katana baada ya jaribio la kufanya maandamano hadi afisi za Gavana wa mombasa abdulswamad Sharif Nassir kutibuka.