Back to home
Muungano wa Upinzani: Viongozi wakuu wakutana Nairobi kujadili umoja
video
C
Citizen TV (Youtube)September 8, 2025
6h ago
Viongozi wa upinzani wamekuwa na mkutano mwingine wa faragha leo hapa nairobi kujadili umoja wao.viongozi hao wakiwemo rigathi gachagua wa dcp, kalonzo musyoka wa wiper na wengine walikuwa na mkutano kwa zaidi ya saa tatu kujadili masuala ibuka kwenye muungano wao na pia kuamua j