Back to homeWatch Original
Gachagua: Upinzani utakuwa na mgombea wa urais, amtetea Mukhisa Kituyi
video
September 7, 2025
16h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amesisitiza kuwa muungano wa Upinzani utaafikiana kuhusu mgombea wa urais atakayewakilisha muungano huo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Gachagua amesema kuwa malengo binafsi ya viongozi hayawezi kushinda nia ya pamoja ya kumng’oa Rais..