Back to home

Maambukizi ya watu 401 yameripotiwa maeneo mbalimbali nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
6h ago
Wizara ya afya na shirika la msalaba mwekundu zimetoa tahadhari ya maambukizi zaidi ya ugonjwa wa mpox nchini huku takwimu zikionyesha kuwa taifa limesajili watu 401 walioambukizwa kufikia sasa. Kaunti ya mombasa inaongoza kwa maambukizi ya watu 192. Kampeni hiyo inalenga kutoa