Back to home

Usajili wa makurutu wa polisi wayumba kufuatia mvutano wa NPSC na huduma za polisi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
6h ago
Shughuli ya kuwaajiri maafisa wa polisi 10,000, inayaotarajiwa kuanza wiki hii, inaendelea kuyumbayumba huku tume ya huduma kwa polisi nchini NPSC na huduma ya polisi nchini nps zikiendelea kulumbana kuhusu nani kati yao anafaa kutekeleza shughuli hiyo. Kikao cha leo katika bunge