Back to home
Baadhi ya wakazi wapinga shughuli za simba cement Rabai
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
6h ago
Miezi mitatu baada ya kampuni ya saruji ya Simba kufungwa na wizara ya madini kwa kuzembea katika utekelezaji wa miradi ya kufaidi wanajamii katika wadi ya Kambe/Ribe eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi, sasa kampuni hiyo imepewa idhini ya kuendeleza shughuli zake.