Back to home
Maskwota wa Kimwani huko Nandi wadai walipokonywa shamba
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
6h ago
Familia zaidi ya 10,000 ziliokuwa zikiishi katika shamba la ekari elfu kumi maeneo ya Kimwani eneo bunge la Tindiret Kaunti ya Nandi zinaitaka serikali kuzirejeshea shamba hilo lilitwaliwa na serikali ya hayati Rais Moi.