Back to home
Ruto Miaka Mitatu: Mradi wa nyumba wazalisha ajira
video
C
Citizen TV (Youtube)September 9, 2025
6h ago
Mradi wa ujenzi wa nyumba za serikali ni mojawapo ya mipango ambayo rais william ruto ameshikilia kwa karibu. Kwa maneno yake mradi huu hautatui tu tatizo la uhaba wa nyumba mijini bali pia utatoa nafasi za ajira kwa vijana. Miaka mitatu baadaye, mradi huu umetimiza ndoto ya rais