Back to home
Wakazi wa Talai wasema wametengwa na serikali ya Kaunti ya Kericho
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
3h ago
Wakazi wa Talai wadi ya Kapkukerwet eneo bunge la Ainamoi katika Kaunti ya Kericho wanaomba Serikali ya Kaunti hiyo ikarabati barabara mbovu eneo hilo.