Back to home
Kamati ya bunge kuhusu utekelezaji katiba yazuru magereza
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
3h ago
Katika juhudi za kuimarisha huduma za magereza nchini, kamati ya bunge la kitaifa kuhusu uangalizi na utekelezaji wa katiba ilizuru magereza ya Malindi na Kilifi kutathmini hali .