Back to home

Waliobwagwa kwenye mchujo wa wagombea walalamika

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
3h ago
Viongozi wapya wa chama cha ODM katika kaunti ya Busia wamepuuza malalamishi ya hivi majuzi ya wizi wa kura katika uchaguzi wa chama hicho huku wakisema kuwa tayari wameanzisha mikakati ya kuboresha chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.