Back to home
Kamati ya Seneti ya Teknolojia ya mawasiliano yazuru Machakos
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
3h ago
Kamati ya Seneti kuhusu Habari, Mawasiliano na Teknolojia imepongeza Serikali ya Kaunti ya Machakos, chini ya uongozi wa Gavana Wavinya Ndeti kwa Mifumo Imara ya teknolojia.