Back to home

Wawakilishi wadi kutoka gusii wataka kushauriana na rais kwa kuwa linahitaji ahadi na maendeleo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
4h ago
Siku chache baada ya muungano wa upinzani kukashifu mikutano inayoendelea katika ikulu ya Rais, zaidi ya wawakilishi wadi 100 kutoka Kisii na Nyamira wameapa kufanya mikutano na Rais William Ruto katika Ikulu kwa kile wananchokitaja kama kutafutia maeneo yao maendeleo zaidi.